Msingi + kuta + zege + paa hula jumla ya ~44% ya gharama nzima ya ujenzi. Msingi, kuta, zege na paa ndivyo vinavyounda nyumba kuu (boma) na kwa kweli unaweza hamia. vitu vingine vilivyobaki ~56% ni mambo ya finishing. utagundua nyumba yenyewe ni 44% tuu lakini mambo ya urembo na ladha yanakula ~56% ya gharama zako za ujenzi.
Цааш унших